1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya kuadhibiwa na FIFA?

18 Mei 2020

Nchi hiyo ya Afrika Mashariki inasubiri uamuzi wa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA baada ya kutofuata maagizo wa shirikisho hilo.

Afrika-Cup 2019 | Kenia vs. Senegal
Picha: Reuters/S. Salem

Fifa ilikuwa imeliagiza Shirikisho la Soka Kenya kumlipa kocha wao wa zamani Adel Amrouche marupurupu yake ya shilingi milioni 109 pesa za Kenya, baada ya kumuachisha kazi kabla kandarasi yake kuisha, ila shirikisho hilo halikufanya hivyo.

FKF ilikuwa imepewa hadi Aprili 30 kumlipa kocha huyo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW