1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Mjasiriamali anayebadili tasnia ya ushonaji nguo

03:27

This browser does not support the video element.

13 Septemba 2023

Licha ya kupigwa na mshangao wa tofauti za tamaduni na hata kuugua saratani ya damu, maisha ya Leah Otieno katika nchi ya ugenini Marekani haikuwa rahisi. Na hata alipoanza kunawiri, mawazo ya kutaka kurudi nyumbani yalimzonga moyoni. Leo yeye ni mkurugenzi wa ubunifu na muasisi wa kampuni ya ushonaji nguo nchini Kenya.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW