Ni mwaka mmoja tangu kisa cha kwanza cha corona kutangazwa nchini Kenya. Shughuli ya kutoa chanjo inaendelea kote nchini. Hata hivyo wasiwasi mpya umezuka kuwa wimbi la tatu la maambukizi huenda likazua utata. Thelma Mwadzaya ametuandalia video hii kuhusu Kenya na mapambano ya COVID-19. #kurunzi 12.03.2021.