SiasaKenya: NASA yaelekea wapi?03.11.20173 Novemba 2017Wakenya wamefanya uchaguzi wa marudio uliosusiwa na muungano mkuu wa upinzani, NASA. Kufahamu kuhusu hatua ambazo NASA inataka kuchukua, DW imezungumza na mmoja wa vigogo wa juu kabisa, Musalia Mudavadi.Nakili kiunganishiPicha: picture alliance/AP Photo/K. SenosiMatangazoJ3 01.11 Kenya Mudavadi - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.