Kufuatia ukame wa muda mrefu katika maeneo mengi ya Kenya, wakaazi wa kaunti ya Marsabit wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula, ikihofiwa kuwa watu huenda wamekufa kwa njaa. Serikali ya nchi hiyo imeanza kusambaza chakula kwa watu wenye mahitaji ya dharura.#Kurunzi