1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yapambana na viwavijeshi

6 Machi 2018

Wakulima wanajiandaa kwa msimu wa upanzi huku takriban watu milioni 3.4 wanakabiliwa na njaa. Pia wamezuka wadudu wa mimea aina ya viwavijeshi katika maeneo ya bonde la ufa na magharibi mwa Kenya.

Viwavijeshi
Picha: picture-alliance /dpa/CABI

FE: Unser Feature Heute 07/12.03.28 Army worms threaten food security in Kenya - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.