1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yapatiwa mikopo tena na IMF

22 Novemba 2003
NAIROBI: Kwa sababu serikali yake mpya inaendeleza kwa kasi juhudi zake za kupigana na rushwa, Fuko la Kimataifa la Fedha, IMF limeiondolea Kenya vikwazo vya mikopo. Habari kutoka mjini Nairobi zilisema, kufuatana na programu ya kupigana na balaa la njaa na kuendeleza ustawi wa kiuchumi, hivi sasa Fuko la Kimataifa la Fedha limeipa Kenya mkopo wa Dollar miliyoni 250. Mwaka 2001, Fuko la Kimataifa la Fedha na Benki Kuu ya Dunia ziliizuilia Kenya mikopo.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW