1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenyatta na Buhari kushirikiana kupambana na ugaidi

28 Januari 2016

Makubaliano hayo yameafikiwa kwenye mashauri kati ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenzake Muhammadu Buhari wa Nigeria. Viongozi hao wamekutana katika ikulu ya Nairobi na kusema watafanya kazi pamoja.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta. Copyright: picture-alliance/dpa/D. Irungu
Picha: picture-alliance/dpa/D. Irungu
Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi