1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JangaAfrika

Kenya:Wanafunzi wa bweni 17 watetekea kwa moto

01:00

This browser does not support the video element.

6 Septemba 2024

Moto uliozuka katika bweni la shule nchini Kenya umesababisha vifo vya wanafunzi 17 na kuwajeruhi vibaya wengine 13, polisi imesema leo Ijumaa, huku ikieleza hofu ya idadi ya vifo kuongezeka. Rais William Samoei Ruto ameagiza uchunguzi wa kina na kuapa kuwawajibisha waliohusika na uzembe uliosababisha msiba huo mkubwa. Je, tunawezaje kudhibiti matukio ya moto shuleni?

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW