SiasaKero la biashara haramu ya kusafirisha binadamu02:54This browser does not support the video element.SiasaJohn Juma15.12.201715 Desemba 2017Biashara haramu ya usafirishaji binadamu imewaacha wengi katika mateso na hata maafa mabaya. Lakini ni mambo gani hufanya biashara hii kuendelea? Ni kwa nini suluhu kamili haijapatikana? Dex Rugenera anaangazia zaidi masuala hayo na mengine mengi. Nakili kiunganishiMatangazo