1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kesi ya Tundu Lissu yaahirishwa

30 Julai 2020

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania, Tundu Lissu, aliyerudi nchini mwake baada ya kukaa nje, alitarajiwa mahakamani Dar es Salaam kujibu mashtaka yanayomkabili. Hata hivyo, kusikiliza kesi kumeahirishwa hadi Agosti.

Tundu Lissu in Dar es Salaam
Picha: DW/S. Khamis

Mahojiano na wakili Peter Kibatala

This browser does not support the audio element.

DW imezungumza na na wakili wa Tundu Lissu, Peter Kibatala, na kwanza kumtaka afahamishe kuhusu mashtaka hayo yanayomkabili Bwana Lissu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW