1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KHARTOUM: serikali mpya yaapishwa Sudan

22 Septemba 2005

Serikali ya kwanza baada ya vita ya miaka 21 imeapishwa rasmi nchini kwa mujibu wamapatano yaliyofikiwa na waasi wa kusini mwa nchi hiyo.

Waasi tariki 9 wa chama cha SPLA ambao wamo katika serikali hiyo wameahidi ushirikiano wao.

Hatahivyo watu wengi wa kusini wanalalamika kwamba wizara zote muhimu zimo katika mikono ya watu wa kaskazini.

Rais G W Bush wa Marekani ameipongeza serikali hiyo mpya.

Bwana Bush amesema watu wote wa Sudan wana haki yakujivunia hatua hiyo ya maendeleo.

.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW