Vyombo vya habariKenyaKifo cha mwanablogu Kenya chamliza mzazi, ataka haki 02:55This browser does not support the video element.Vyombo vya habariKenya10.06.202510 Juni 2025Kifo cha mwanablogu maarufu nchini Kenya Albert Ojwang kimezua sintofahamu nchini humo na maeneo jirani huku swali kubwa likielekezwa kwa jeshi la polisi. Baba wa mwanablogu huyu naye anataka haki.Nakili kiunganishiMatangazo