1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KIGALI.:Waasi kusalimu amri

31 Machi 2005

Waasi wa kihutu nchini Rwanda wanatarajiwa hii leo kutangaza kusalimisha silaha na kushutumu mauaji ya halaiki ya watusti katika mwaka 1994. Ujumbe unaowakilisha chama cha waasi cha FDLR umeitisha mkutano na wanahabari hii leo kufuatia siku mbili za mazungumzo mjini Rome Italy na jamii ya dini

.Kwa mujibu wa duru za kuaminika waasi hao wanatarajiwa kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba wamelaani mauaji ya halaiki ya watsuti laki 8.

Hatua ambayo imetajwa iwapo itafanyika kuwa ya kwanza itakayosaidia kuondoa uhasama wa miaka mingi kati ya Rwanda na Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW