1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kigoma: Uchaguzi shwari, baadhi ya majina hayaonekani

Elizabeth Shoo25 Oktoba 2015

DW imetembelea maeneo mbalimbali katika mkoa wa Kigoma Tanzania Magharibi na kushuhudia utulivu na ukimya wa aina yake huku kila mtu kwa kufuata taratibu akiwasili kituoni na kupiga kura kabla ya kurejea nyumbani.

Uchaguzi Kigoma, Tanzania
Picha: DW/P. Kwigize

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW