1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilimo cha kisasa mjini Dar es Salaam

02:57

This browser does not support the video element.

20 Agosti 2020

Kilimo barani afrika bado kinahudumu katika mwendo taratibu kutokana na uhaba wa teknolojia na nyenzo mbali mbali za kufanya kilimo chenye tija. George Waloma kijana kutoka Tanzania amethubutu kufanya kilimo chenye kutumia mbolea ambayo inatokana na kinyesi cha kuku na kurudufishwa kupitia mfumo wa kumwagilia kwa matone kwa ajili ya kukuza bustani za mboga mboga.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW