1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilimo cha pareto Kenya

04:09

This browser does not support the video element.

16 Desemba 2022

Kilimo cha pareto kilishamiri sana katika miaka ya tisini, Kenya ilipokuwa inauza takriban asilimia 90 ya pareto ulimwenguni. Soko la pareto lilidimia kutokana na matumizi ya dawa za kuuwa wadudu zilizotengenzwa kwa njia ya kemikali katika mataifa yaliokuwa soko kubwa la pareto ya Kenya..#Kurunzi