1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilimo Shadidi cha mpunga Morogoro.

03:03

This browser does not support the video element.

12 Machi 2021

Wakulima katika wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro Tanzania wamenufaika na mradi wa Kilimo cha kisasa cha mpunga au shadidi unaotumia maji kigodo na miche ya siku 8 hadi 12 baada ya kuchipua. Veronica Natalis alitembelea kijiji cha Njage na kuandaa vidio ifuatayo. #kurunzi 12.03.2021

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW