JamiiKilio cha njaa, Somalia02:29This browser does not support the video element.Jamii14.10.202214 Oktoba 2022Hali ya ukame inazidi kutishia taifa la Somalia na kuathiri maelfu ya watu. Watoto wanakufa na mifugo inaangamia kwa kukosa chakula kutokana na ukame uliodumu kwa muda mrefu. Tizama video hii.Nakili kiunganishiMatangazo