Kimbunga na tetemeko la ardhi vyauwa mamia ya watu Mexico na Puerto Rico, Rais wa Korea Kaskazini aapa kumtia adabu mwenzake wa Marekani, huku Ujerumani ikitetea mkataba wa nyuklia wa Iran na huko Kenya tarehe ya uchaguzi mpya wa rais yasogezwa mbele. Yote ni kwenye Papo kwa Papo ya Ijumaa tarehe 24 Septemba 2017.