Kinagaubaga: CHADEMA yasema haina mgogoro
12 Novemba 2013![Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania. Kutoka kushoto ni Freeman Mbowe (Chadema), Ibrahim Lipumba (CUF) na Augustine Mrema (TLP).](https://static.dw.com/image/1724415_800.webp)
Matangazo
Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene, anaelezea kwenye mahojiano haya na Mohammed Khelef kwamba mambo ndani ya chama chake ni shwari, licha ya kwamba wanakabiliwa na hujuma "kutoka nje". Kusikiliza mahojiano haya ya Kinagaubaga, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Josephat Charo