1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga

Mohamed Abdulrahman5 Desemba 2012

Sikiliza kipindi hiki cha Kinagaubaga ambapo Mohamed Abdulrahman anazungumza na Mjumbe maalum wa Umoja wa mataifa kwa Somalia Balozi Augustine Mahiga kutoka Tanzania kuhusu hali ya kisiasa ya Somalia.

Residents walk past the campaign billboard of Somalia's presidential candidate Hassan Sheikh Mohamud in Somalia's capital Mogadishu, September 9, 2012. Somalia's lawmakers voted overwhelmingly on Monday for Mohamud as the country's next president, with the streets of the capital erupting into celebratory gunfire, Reuters witnesses said. Two of the four candidates who made it to the second round of voting opted out, leaving the incumbent President Sheikh Sharif Ahmed and Mohamud.Picture taken September 9, 2012. REUTERS/Feisal Omar (SOMALIA - Tags: POLITICS ELECTIONS)
Somalia - Hassan Sheikh MohamudPicha: picture-alliance/dpa

Bunge la Somalia liiliidhinisha Baraza la mawaziri la Rais Hassan Sheikh Mohamoud aliyechaguliwa mwezi Septemba kuiliongoza taifa hilo la pembe ya Afrika tokea kuangushwa utawala wa Siad Barre 1991 na kuandamwa na vita. Ikilinganishwa na nchi nyingi za kiafrika  Baraza hilo la mawaziri  ni dogo, likiwa na mawaziri 10. Sikiliza mahojiano haya kwa kubonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mahojiano: Mohammed Abdul-Rahman
Mhariri:Saumu Mwasimba

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW