JamiiKinamama wajikwamua kiuchumi02:36This browser does not support the video element.JamiiSaumu Njama15.06.202215 Juni 2022Wanawake wanaendelea kujitahidi kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Kina mama hawa waliopo Kijiji cha Paje Unguja, hutengeneza bidhaa mbalimbali ikiwemo sabuni za kuongea, mafuta ya maji na mgando pamoja na losheni ya kupaka mwilini.Nakili kiunganishiMatangazo