1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KINSHASA: Homa ya Ebola Kongo yaua zaidi ya 160

12 Septemba 2007

Miji miwili kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imewekwa karantini ili kuzuia kuambukiza homa ya Ebola ambayo haina matibabu.Kwa mujibu wa maafisa wa afya,katika kipindi cha miezi minne iliyopita,homa ya Ebola imesababisha zaidi ya vifo 160 miongoni mwa wagonjwa 352 katika jimbo la Kasai.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW