1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinshasa yamkumbuka Muhammad Ali

Elizabeth Shoo9 Juni 2016

Pambano la "Rumble in the Jungle" kati ya George Foreman na Muhammad Ali lilifanyika mjini hapo 1974 na lilibadili sura ya Kinshasa. Wakazi wanakumbukia pambano hilo na kusema kwanini wanapenda ndondi.

Ukumbi wa ndondi uliopewa jina la "Muhammad Ali" mjini Kinshasa
Picha: DW/S. Mwanamilongo

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ukumbi wa kujifunzia ndondi uliopewa jina la "Muhammad Ali" mjini KinshasaPicha: DW/S. Mwanamilongo
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW