1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KINSHASA:Mwanamuziki maarufu barani afrika afariki ghafla

11 Agosti 2007

Mwanamuziki mashuhuri barani afrika, Madilu System amefariki dunia ghafla leo hii mjini Kinshasa katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya watu wa Kongo.

Madilu System amefariki kutokana na shinikizo la moyo baada ya kufikishwa katika hospitali mmoja leo asubuhi mjini Kinshasa.

Mwanamuziki huyo ambaye alijipatia umaarufu mkubwa barani afrika, alikuwa akijianda kutumbuiza katika tamasha kubwa leo hii jijini Kinshasa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW