1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiongozi wa chama cha CCJ bado yuko hospitalini

6 Aprili 2010

Bwana Kyabo alivamiwa na kupigwa jijini Dar es Salaam

Huko Tanzania, mwenyekiti wa Chama cha Jamii, CCJ, ambacho kimeanzishwa karibuni na bado hakijapatiwa usajili wa kudumu, Richard Kyabo, hadi leo yuko hospitalini mjini Dar es Salaam baada ya kuibiwa na kupigwa na watu fulani katika mtaa mmoja wa mji wa Dar es Salaam. Hadi sasa watu hao hawajapatikana na polisi, licha ya kwamba polisi wameahidi kukifuatiliza kisa hicho.

Othman Miraji alizungumza leo alasiri na Bwana Kyabo, abmaye alianza kwa kuelezea hivi masaibu yaliompata.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW