MichezoUjerumaniKipa wa timu ya taifa ya Ujerumani Neuer avunjika mguu00:43This browser does not support the video element.MichezoUjerumaniSudi Mnette15.12.202215 Desemba 2022Nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani Manuel Neuer awekwa kando ya ushiriki wa ligi ya Ujerumani katika msimu huu baada ya kuvunjika mguu wakati akicheza mchezo wa kuteleza kwenye barafu.Nakili kiunganishiMatangazo