1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Kisiwa cha adhabu" Uganda - Akampene

02:07

This browser does not support the video element.

Bruce Amani
11 Januari 2018

Katika Ziwa Bunyonyi nchini Uganda, kuna kisiwa kidogo ambacho kina historia mbaya. Kilitumiwa kuwaadhibu wasichana waliopata uja uzito nje ya ndoa.