Mtaa wa Buyenzi nchini Burundi ulikuwa maarufu kama "Mtaa wa Waswahili" kwa miongo kadhaa, ambapo lugha na utamaduni wa Mswahili vilitukuzwa na kuenziwa, lakini sasa mambo yanaanza kubadilika.
Matangazo
Hamida Issa anaangalia kuinuka na kuporomoka kwa utamaduni wa Mswahili nchini Burundi. Kusikiliza makala hii, fadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Hamida Issa/DW Bujumbura Mhariri: Mohammed Khelef