JamiiAfrikaKitabu cha maajabu visiwani Zanzibar02:32This browser does not support the video element.JamiiAfrika27.01.202227 Januari 2022Sadiki ukipenda, inasafiri hadi Pemba huko Zanzibar kukitizama kitabu kikongwe kilichookotwa baharini kikiwa kikavu bila ya kulowana. Wakaazi wanasimulia huku serikali ikijaribu kukitangaza kama mojawapo ya maajabu ya dunia. #SadikiukipendaNakili kiunganishiMatangazo