Kutana na Christina Chacha anayethubutu kusaidia jamii yake kulea watoto wenye mahitaji maalumu wakiwemo wenye ulemavu wa akili, ulemavu wa viungo pamoja na tatizo la usonji kupitia taasisi yake ya Upendo Rehabilitation mjini Mtwara ,kwa kuwapatia watoto hao mafunzo kwa vitendo, tiba lishe na masomo katika mtaala wao maalum.