Waanzilishi wake ni wasanii ambao walipambania ndoto zao wakiwa mtaani, mapambano hayakuwa rahisi kufikia hatua waliopo sasa ya kurejesha fadhira kwa jamii yao hasa kwa watu wasio na makazi kufikia malengo yao. Imejipanga katika kuhakikisha inatoa jukwaa kwa wasanii ambao hawana makazi. Tazama Video