SiasaKituo cha wahamiaji chashambuliwa Libya01:06This browser does not support the video element.SiasaBruce Amani03.07.20193 Julai 2019Zaidi ya watu 44 wameuawa katika shambulizi la angani lililokipiga kituo cha kuwazuilia wahamiaji mjini Tripoli, Libya. Zaidi ya watu 130 wamejeruhiwaNakili kiunganishiMatangazo