1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiulizo: 'Pamba stick' ni nini na kazi yake ni gani?

01:03

This browser does not support the video element.

22 Aprili 2021

Unapoulizwa swali kama kawaida ni muhimu kumakinika na kama hujaelewa basi usikurupuke tu. Ni Kiulizo Time na kama kawaida Masanja Mkandamizaji amekuwa mitaani na swali lake safari hii ni kuhusu kile anachokiita 'Pamba stick'. Hebu nawe jaribu kulijibu swali lake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW