1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Kivuli cha Ukoloni - Togo kama koloni la mfano la Ujerumani

01:41

This browser does not support the video element.

4 Januari 2024

Katika sehemu ya 6 ya mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´ Bruce Amani anakueleza jinsi Togo, taifa la Afrika magharibi lililokuwa koloni la Ujerumani lilivyogeuzwa kuwa mfano wa namna muundo wa utawala wa kikoloni utakavyokuwa na utakavyoendeshwa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW