1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Kivuli cha Ukoloni - Urathi wa mashaka kwenye matibabu

01:49

This browser does not support the video element.

4 Januari 2024

Katika sehemu ya 8 ya mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´, Bruce Amani anamulika jinsi wakoloni walivyofanya majaribio ya chanjo na dawa zisizo na ithibati kwenye miili ya Waafrika. Hilo limeacha makovu ya mashaka barani Afrika kuhusu matibabu hasa chanjo kutoka nchi za magharibi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW