1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kocha Guardiola atua Bayern Munich

Admin.WagnerD17 Januari 2013

Mwenyekiti wa klabu ya kandanda ya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amesema Kocha mpya wa klabu hiyo Pep Guardiola hatoanza kazi rasmi ya kuinoa timu hiyo mpaka baadaye msimu wa kiangazi.

FC Barcelona's coach Pep Guardiola attends a press conference at the Camp Nou stadium in Barcelona, Spain, Friday, April 20, 2012. FC Barcelona will play against Real Madrid in a Spanish La Liga soccer match next Saturday. (Foto:Manu Fernandez/AP/dapd)
Kocha Josep Pep GuardiolaPicha: AP

Kocha huyo wa zamani wa Barcelona mwenye umri wa miaka 41 na ambaye amekuwa akisakwa kwa udi na uvumba na vilabu vingi barani Ulaya, ameifanikisha klabu ya Barcelona kunyakuwa mataji 14 yakiwemo mawili ya klabu bingwa barani Ulaya. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa soka Ramadhani Ali . Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza kitufe cha kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW