1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kofi Annan aionya serikali ya Khartoum kufuatia mzozo wa Darfour

9 Septemba 2006

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Kofi Annan ameisihi kwa mara nyengine tena serikali ya Sudan iwaruhusu wanajeshi wa kimataifa wa kulinda amani waingie Darfur.Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa amesema la sivyo serikali ya Khartoum itabeba jukumu la yatakayowafika wakaazi wa Darfour.Kwa mujibu wa kamishna wa Umoja wa mataifa anaeshughulikia masuala ya wakimbizi Antonio Guterres maelefu ya watu wanatimuliwa kwa nguvu majumbani mwao.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW