Kombe la Ulaya na Afrika 2008
9 Septemba 2007Matangazo
MWISHOE :MICHEZO:
Katika kinyan’ganyiro cha kuania tiketi za finali ya kombe la Ulaya la Mataifa mwakani nchini Uswisi na Austria,Ujerumani jana ilipiga hatua nyengine ya kwenda huko kwqa kuilaza wales mabao 2:0.
Mabao yote yalikomewa na Miroslav klose.
Tanzania-Taifa Stars ilishindwa jana kutamba mbele ya jirani zao msumbiji ilipokomewa nyumbani bao 1:0 nahivyo kuwakatisha watanzania tamaa ya kwenda ghana 2008.
Namibia lakini iliibwaga Ethiopia mjini Addis Ababa 3-2 na kukata tiketi ya Accra.