1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Komoro yapiga kura ya maoni kubadilisha katiba

01:15

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
30 Julai 2018

Raia wa visiwa vya Komoro wanapiga kura ya maoni leo ya kufanya mabadiliko ya katiba, ikiwa ni pamojana kufutilia mbali utaratibu unaofuatwa hivi sasa wa kupokezana urais kati ya visiwa vitatu vikuu, kila baada ya miaka mitano. Upinzani umeahidi kuyapinga vikali mapendekezo hayo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW