1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la kimataifa waingia siku ya pili mjini Bonn

Samia Othman22 Juni 2010

Kongamano la tatu la Kimataifa la vyombo vya habari linaloandaliwa na Deutsche Welle linaingia siku yake ya pili baada ya kufunguliwa jana mjini Bonn.

Mkuu wa Deutsche Welle Bw.Erik Bettermann katika Kongamano la kimataifa mjini BonnPicha: DW

Kongamano hilo likiwa na kauli mbiu ,"Ni mchango gani unaofaa kutolewa na vyombo vya habari katika kuwapa mwamko wanadamu na matatizo yanayotokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani," na kutafuta njia ya kuyapatia ufumbuzi matokeo ya mabadiliko hayo. Nchini Tanzania kuna chama cha waandishi wa habari wa mazingira, JET, na mkurugenzi mtendaji wa chama hicho, John Chikomo, anahudhuria kongamano hilo la siku tatu. Othman Miraji alizungumza na Bwana Chikomo na kwanza anazungumzia juu ya umuhimu wa kushiriki kwake katika kongamano hili.

Insert: Interview Othman/ JET Executive Director, John Chikomo

Mpitiaji:Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW