1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la kujadili mikakati ya Malaria kisiwani Zanzibar

26 Oktoba 2009

Wataalamu wakutana Zanzibar kuhusu ugonjwa wa malaria.

Mama na mtoto wake anayeugua Malaria akisubiri matibabuPicha: picture-alliance/ dpa

Wataalamu zaidi ya 150 wa ugonjwa wa malaria barani Afrika wanakutana visiwani Zanzibar-Tanzania, kujadili mikakati ya kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo barani humo. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam, George Njogopa yuko visiwani Zanzibar na ametutumia taarifa ifuatayo juu ya mkutano huo.

Mtayarishaji: George Njogopa

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW