1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la Vyombo vya Habari lakamilika

25 Juni 2015

Kongamano la nane la Kimataifa la Vyombo vya Habari limekamilika mjini Bonn siku ya Jumatano (24.06.2014)

GMF Bakari Machumu Interview
Bakari Machumu akiwa katika studio za Deutsche Welle, mjini BonnPicha: DW

Josephat Charo amezungumza na Bakari Machumu, Mhariri Mtendaji mkuu wa kampuni ya Mwananchi, jijini Dar es Salaam, Tanzania, aliyekuwa miongoni mwa wajumbe takriban 2,000 waliohudhuria kongamano hilo lililoanza siku ya Jumatatu (22.06.2015)

Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi:Josephat Charo

Mhariri:Mohammed Abdulrahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW