JamiiAsiaKorea Kusini yaomboleza vifo vya watu 179 vya ajali ya ndege01:07This browser does not support the video element.JamiiAsiaSudi Mnette30.12.202430 Desemba 2024Korea Kusini inaomboleza vifo vya watu 179 baada ya ndege ya shirika la Jeju Air kutua kwa dharua na kulipuka moto. Timu ya wapelelezi wa Marekani imeungana na maafisa wa Korea Kusini kuchunguza kilichosababisha mkasa huoNakili kiunganishiMatangazo