Kubwagwa kwa mawaziri wa CCM kwamaanisha nini?27.10.201527 Oktoba 2015Mawaziri watano wa Chama cha Mapinduzi CCM wameshindwa kwenye uchaguzi katika majimbo yao. Viongozi hao ni Stephen Wasira, Anne Kilango, Aggrey Mwanri, Christopher Chiza na Stephen Kebwe.Nakili kiunganishiPicha: DW/M. KhelefMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.