1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kudorora biashara msimu wa Ramadhani Mombasa

03:28

This browser does not support the video element.

8 Aprili 2022

Mwezi wa Ramadhani huko Mombasa pwani ya Kenya watu hukutana, huswali na kupata mlo wa pamoja baada ya kufungua ukijulikana kama futari, huo ni utamaduni wa miaka na dahari lakini sasa unaonekana kupungua kutokana na gharama za maisha kupanda.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW