Kujichukia ni hali ya kujiona utoshi kuwa wewe na hata kutamani kuwa mtu mwingine, hali hiyo inapokomaa huzusha hasira na kuzidisha hali ya kujichukia.Wataalamu wa saikolojia wanasema miongoni mwa sababu ni mtu kujilinganisha na wengine.Tanzama video.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.