1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaNigeria

Kukabili tatizo la mfadhaiko baada ya kiwewe

05:36

This browser does not support the video element.

29 Desemba 2023

Miaka miwili imepita tangu maandamano ya kuvunja kikosi cha SARS lakini kwa baadhi ya vijana wa Nigeria, kiwewe kinaendelea. Wengine hata wamegunduliwa kuwa na PTSD, hali inayotokana na matukio ya kushtua, hatari au ya kutisha. Katika makala haya ya #AfyaYangukwa Uhakika!, Dkt. Chinonso Egemba anakutana na kijana anayeathiriwa na mfadhaiko baada ya kiwewe.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW