Analiacha taifa lake kama ilivyo kwa vijana wengi na kukimbilia ughaibuni kusaka maisha bora, usafiri unaotumika unavunja moyo na kuliona lango la kifo, lakini matumaini ya kutimiza majukumu makubwa katika familia yake anapata tumaini jipya kwa kuchagua taaluma ambayo ni rahisi kwake kutimiza ndoto yake.